
Mimi nimezaa nimezeeka? siyo kwamba mwanamke akizaa anazeeka, hiyo inatokana na wewe mwenyewe unavyojitunza. Kwa wale waliojaaliwa kuzaa, wazae tu! Hawanioni mimi sasa hivi ninavyoinjoi na Mayra wangu? Haijalishi anatunzwa na baba au hatunzwi, napambana mwenyewe,” Gigy ameliambia Ijumaa
0 Comments