
Kocha mpya wa klabu ya Simba Sven Vanderbroeck, amefunguka kwa kuweka wazi lengo lake kwa klabu hiyo aliyojiunga nayo hapo jana.
“Nimekuja Simba ili kushinda ubingwa, lengo langu tucheze Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, najua Simba ni timu kubwa na mashabiki wake wanataka mambo makubwa,” - Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroeck.
Social Plugin