Image
Benki ya Standard Chartered imeikopesha Tanzania TZS Trilioni 3.3 ajili ya mradi wa ujenzi wa reli la kisasa (SGR) awamu ya pili, kutoka Morogoro, Makutupora & Singida. Mkopo huo umeratibiwa na Standard Chartered na umejumuisha wakopeshaji 17 ikiwemo Serikali za Denmark & Sweden.