
Coastal Union imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakani mkoani Tanga.
Bao pekee la Coast Union limefungwa na Haji Ugando dakika ya 54 na kuipelekea Azam FC kukubali kichapo hicho.
Social Plugin