Ad Code

Responsive Advertisement

Huyu ndio mchezaji Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Vodacom


Mchezaji wa timu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20.




Reactions