Ad Code

Responsive Advertisement

Mke apewa mimba, Mumewe kazawadiwa gari la Mamilioni asamehe

Image may contain: car

John Raia wa Nigeria ambaye anaishi Afrika Kusini, amenunua gari ya kifahari aina ya Mercedes-Benz G-class yenye thamani ya zaidi ya Milioni 70 na kumpa Mwanaume mwenzake ili kumuomba msamaha kwa kumpa ujauzito Mke wake walipokuwa wakichepuka.

John alipohojiwa alisema “Najua nilichofanya sio kizuri, lakini najisikia vizuri amepokea zawadi yangu, amekubali Mke wake ambaye ni 'girlfriend' wangu ni mjamzito na atajifungua mtoto wa kiume ambaye ni wa kwangu, mwanzoni alikuwa na hasira nilipompa gari hasira zilimuisha”.

Reactions