Ad Code

Responsive Advertisement

UMRI WA KUANZA KUNYWA POMBE SASA KUWA MIAKA 20 - 25


Image

RWANDA: Serikali ya Rwanda inajadili mpango wa kubadili umri wa kuanza kunywa pombe kutoka miaka 18 ya sasa na badala yake iwe kati ya 20-25, ni kutokana na pombe kuharibu maisha ya wengi huku Taifa hilo likishika namba 2 Afrika Mashariki kwa unywaji Pombe mwaka 2018
Image
Reactions