
Hapo jana wachezaji wa Simba SC Miraji Athumani na Haruna Shamte walikuwa wakisherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwao.
Mara baada ya mazoezi ya hapo jioni wachezaji wenzao wakajumuika nao katika siku hiyo yao muhimu kwa kuwamwagia maji.

Graphic resources for everyone.
Social Plugin