
Kutoka Kings Music huyu hapa msanii Killy kamshirikisha king wa lebo hiyo Alikiba na mdundo unaitwa ‘Gubu’ Audio ya wimbo huu imetengenezwa na Producer Moko huku video ikitayarishwa na Director Ivan, location ikiwa ni Lushoto Tanga.
Graphic resources for everyone.
Social Plugin