Ad Code

Responsive Advertisement

Ethiopia imepitisha Sheria ya Habari inayokusudia kupambana na habari feki/uongo mitandao ya kijamii




Ethiopia imepitisha Sheria ya Habari inayokusudia kupambana na habari feki/uongo unaosambaa kupitia mitandao ya kijamii. Sheria hiyo inatoa adhabu ya faini ya TZS milioni 7 au kifungo cha miaka 3, kwa akaunti yoyote yenye wafuasi zaidi 5,000 ambayo itasambaza habari feki/uongo.
Reactions