Ad Code

Responsive Advertisement

Itachukua mwaka mmoja na nusu chanjo ya coronavirus kupatikana

Mkuu wa Taasisi ya Magonjwa ya Kuambukiza Marekani, Dkt Anthony Fauci, amesema itachukua mwaka hadi mwaka na nusu kupatikana kwa chanjo ya #Coronavirus.
Kiwango cha maambukizi ya kirusi hicho kinaendelea kuongezeka duniani ambapo hadi sasa zaidi ya watu 81,000 wameambukizwa.

Reactions

Post a Comment

0 Comments