Ad Code

Responsive Advertisement

+Picha: Kasisi Shoga afunga ndoa na Mwanaume mwenzake Afrika Kusuini


KASISI maarufu wa Kanisa la Anglican nchini Afrika Kusini, Rev John Maierepi, ameolewa na kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, Pastor Paul Mwaura wa Kenya.


Walipoulizwa ni kwa nini waliamua kuwa mashoga, wahubiri hao walisema hulka yao hiyo ya ni yenye asili ya kuzaliwa, isiyochagulika na isiyobadilika.


Reactions

Post a Comment

0 Comments