Ad Code

Responsive Advertisement

MALAWI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI RUFAA YA RAIS MUTHARIKA



Mahakama ya Kikatiba nchini Malawi imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Rais Peter Mutharika, kupinga hukumu ya mahakama hiyo iliyobatilisha ushindi wake katika uchaguzi wa Mei 2019. Aidha, imepinga madai ya Tume ya Uchaguzi (MEC) kuwa uchaguzi wa marudio ni gharama sana.
Reactions