Ad Code

Responsive Advertisement

MCHUNGAJI RWAKATARE " Vijana waache Umarioo | Wanawake wanapenda pesa | Hawataki Mwili wa Gyme.

Mchungaji Getrude Rwakatare leo kupitia kipindi cha temino cha Clouds fm amefunguka maswala mengi, na moja wapo amezungumzia swala la wanaume kufanaya kazi na kuacha uvivu. Mama Rwakatare ameseme ni vyema vijana na wanaume kwa ujumla kufanya kazi kwa bidii kwani sifa ya mwanaume ni kazi na sio misuli
Msikilize apa

HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YETU DOWNLOAD <DOWNLOAD HAPA>
Reactions

Post a Comment

0 Comments