Mwili wa Katibu wa Chadema Jimbo la Manyoni Mashariki, Alex Jonas umekutwa barabarani ukiwa na majeraha yanayoashiria kuchomwa na kitu chenye ncha kali. DC Manyoni, Rahabu Mwagisa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi zaidi.
0 Comments