Mapema jana jumanne kupitia akaunti yake ya mtandao wa tweeter, Waziri huyo wa Afya amesema “naomba niwaambie kuwa nimepata maambukizi ya Corona”.
Waziri huyo alionyesha dalili za ugonjwa huo ikiwemo homa kali na baada ya kupimwa akaonekana ana maambukizi ya ugonjwa huo ambao tayari umeripotiwa kuua watu 16 na kuambukiza zaidi ya watu 95 nchini Iran.
Waziri huyo ametengwa katika hospitali maalumu akipatiwa matibabu na amethibitisha kuwa anaendelea vizuri baada ya kupata matibabu
Social Plugin