Kupitia kipindi cha leo tena cha Clouds Fm, mtangazaji nguli wa shirika la utangazaji la BBC Zuhura Yunus amefunguka jinsi alivopata kazi kwenye shirika la utangazaji la BBC miaka 12 iliyopita, pia mtangazaji huyo alizungumzia maisha yake kwa ujumla na kusema kuwa yeye hajaolewa na hana mtoto.
Msikilize kwenye video hii


HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YETU DOWNLOAD <DOWNLOAD HAPA>