Rais Donald Trump wa Marekani, amepiga marufuku Raia wa nchi zote za Ulaya (isipokuwa Uingereza) kuingia Marekani lengo likiwa ni kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona, zuio hilo linaanza Ijumaa hii “Ulaya wameshindwa kabisa kuchukua tahadhari” https://t.co/jdJmIaF0bt pic.twitter.com/fT32C96hu2— millardayo (@millardayo) March 12, 2020
0 Comments