Nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo atabadilisha baadhi ya hoteli zake kuwa hospitali ambapo wagonjwa wa Corona walioambukizwa Nchini kwao Ureno wataweza kutibiwa bure.
CR7 pia atahusika na mishahara ya madaktari na wafanyikazi wote watakaotibu wagonjwa hao.

0 Comments