Ad Code

Responsive Advertisement

JPM afanya ziara ya kushtukiza Ubungo Jijini Dar es Salaam.

JPM amefanya ziara ya kushtukiza Ubungo Jijini Dar es Salaam. Pia amekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (Ubungo Interchange). Ujenzi umefikia 70%, mradi utakamilika kwa gharama ya shilingi Bilioni 230. 
Pia Raisi ametangaza kuahirisha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu.


Reactions

Post a Comment

0 Comments