#UNAAMBIWA kwa mujibu wa Dkt Ambege Mwakatobe, stress zinasababisha mdomo kutoa harufu “unapokuwa na stress unaathiri mtiririko wa damu na mate, na mate yanasaidia kusafisha meno na mdomo, yasipokuwepo ya kutosha Bacteria mdomoni wanashindwa kusafishwa" https://t.co/qqbIAio93y pic.twitter.com/nLS9ZR7ZLM— millardayo (@millardayo) March 12, 2020
0 Comments