#HABARI RPC Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na wabunge @halimamdee na @esteramosbulaya walivamia kwa nguvu Gereza la Segerea wakitaka kumtoa @freemanmbowetz bila kufuata utaratibu na kupelekea kumchania sare Askari Magereza. pic.twitter.com/ASxgUBmlOo— East Africa Radio (@earadiofm) March 15, 2020

0 Comments