Ad Code

Responsive Advertisement

Mke wa Waziri Mkuu wa Hispania athibitika kuwa na virusi vya corona

Begona Gomez, Mke wa Waziri Mkuu wa Hispania Pedro Sanchez amethibitika kuwa na virusi vya corona, Waziri Mkuu hajapata maambukizi ila wote wamewekwa chini ya uangalizi, juzi Sophie Trudeau, Mke wa Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau alibainika pia kuwa na corona.

Reactions

Post a Comment

0 Comments