Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa CHADEMA akiwemo Mbunge Halima Mdee waliofika gereza la Segerea kumchukua Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya kumaliza kulipa faini https://t.co/tTu4mna3oN— Jamii Forums (@JamiiForums) March 13, 2020
0 Comments