Rais Magufuli ametoa shilingi milioni 38 kumtoa Mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CHADEMA Peter Msigwa gerezani.Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Gerson Msigwa amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya ndugu kuchanga na kupata milioni mbili tu na hivyo kumtafuta @MagufuliJP pic.twitter.com/MgleNuvQLX— Azam TV (@azamtvtz) March 12, 2020

0 Comments