Seneta wa Marekani kupitia ukurasa wake wa Twitter inaeleza kuwa kufuatia mashtaka waliopewa viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni moja kati ya alama inayoashiria ukosefu wa uhuru wa kisiasa Tanzania.
Ameongeza kuwa, juhudi ambazo Serikali inatumia katika kuwatuhumu viongozi wa kisiasa wa Upinzani inaondoa uwezekano wa kuwa na uchaguzi huru na haki kwa mwaka huu.
0 Comments