Wizara ya Afya Kenya imethibitisha kuwa Mwanamke mmoja amekutwa na virusi vya corona nchini humo, Mgonjwa huyo ni Raia wa Kenya ambae ameingia Kenya akitokea Marekani kisha London "Mwanamke huyo anaendelea vizuri na yuko chini ya uangalizi mpaka atakapokuwa sawa"(📹 via ntv) pic.twitter.com/EIkogLT5r1— millardayo (@millardayo) March 13, 2020
0 Comments