Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa, Frank Riester amethibitika kuwa na Virusi vya Corona Kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Olivier Veran, Riester anaendelea vizuri na anapumzika nyumbani
Waziri Riester alikutana na Rais Emmanuel Macron siku chache zilizopita
0 Comments