
BAADA ya sekeseke la siku kadhaa kuhusu mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison kutofautiana na klabu yake, habari ni kuwa mambo sasa yanaelekea kuwa mazuri baada ya kutakiwa kurejea kwenye majukumu yake.
Morrison amekuwa katika mvutano wa kimkataba na Yanga ambapo kulikuwa na taarifa kuwa mwenyewe anasema hakusaini mkataba wa nyongeza kuendelea kuitumikia Yanga kwa miaka miwili zaidi wakati klabu yake inaeleza kuwa alisaini.
Morrison mwenyewe alipoulizwa juu ya kinachoendelea baada ya kikao cha juzi, alisema: “Nimetakiwa kurejea kazini, na hapa ninajiandaa kwa ajili ya
Bofya Apa kusubscribe kwenye channel yetu
0 Comments