Ad Code

Responsive Advertisement

MJADALA: Muongozo wa namna ya kuanzisha Photo Studio

Mahitaji ya haraka:
DSLR yeyote nzuri ya Nikon au Canon
Softbox
Framebox
Screens za rangi mbali mbali
Space (kuweza ku-accomodate vifaa mpigwa picha na mpigaji)
Changing room
Make Up Artist
Computer nzuri for editing. (Kama ni PC basi Core i7 8th generation kwa kuanzia)
Softwares (Adobe Photoshop and Lightroom)

Ndoa kutetereka wakati wowote.
Kuletewa lawama unatembea na wake/mademu/watoto wa watu.

Ukiichukulia kama kazi na ukawa serious itakuinua na kukulipa sana, nimewaona wachache waliodhamiria wakiwa places sasa. Na nimewaona wachache waliochukulia tu kama chimbo wakirudi majumbani kwao na makovu, magonjwa na hasara.

Ukiweza kuwa na Epson Printer moja kwa wale wanaopenda kuondoka na picha mbili tatu kwa frames pia itapendeza
Reactions

Post a Comment

0 Comments